Mtu akijiunga na imamu baada ya Takbiyr ya tatu amuombee du´aa au asome al-Faatihah kwanza?

Swali: Mswalaji akiingia na imamu baada ya Takbiyr ya tatu katika swalah ya jeneza amuombee du´aa maiti au asome al-Faatihah?

Jibu: Amuombee du´aa maiti kutokana na ujumla wa maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mtayowahi ndio mswali.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/137)
  • Imechapishwa: 15/09/2021