Swali: Mtu akate swawm pindi jua linapozama?
Jibu: Ndio. Pindi inapotea diski inatosha. Vivyo hivyo katika ´Arafah wakati inapotea diski ya jua basi wataondoka watu. Pindi inapopotea diski ya jua upande wa magharibi kwenye upeo wa macho basi umefika wakati wa kukata swawm.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22799/صفة-غروب-الشمس-الذي-يفطر-به-الصاىم
- Imechapishwa: 27/03/2023