Swali: Je, mtoto wa zinaa ataingia Peponi?

Jibu: Hili ni Kwake Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Itategemea na matendo yake. Ikiwa ni mwema na ni muumini, ni ipi dhambi yake? Hana dhambi yoyote. Dhambi ya zinaa ni ya aliyezini, yeye hana dhambi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014