Swali 44: Kuhusu mtoto aliyebaleghe tangu miaka saba iliyopita na hakuswali hata swalah moja mpaka sasa na anataka kuhiji. Je, ni juu ya watu kumzuia kuhiji kwa kuwa ni kafiri au hazuiwi?
Jibu: Ni wajibu juu ya huyu ambaye amebaleghe tangu miaka saba iliyopita aswali. Ni wajibu juu ya mlezi wake amuamrishe swalah. Sidhani kwamba mtoto wa umri huu anakataa swalah. Anayekhofiwa kukataa swalah ni mtu mkubwa. Ama huyu, mara tu baba yake anapomwamrisha na kumlazimisha kuswali basi ataswali. Kwa msingi huu tutamlazimisha aswali. Sidhani kwamba mwenye miaka saba ni baleghe. Huenda akawa amebaleghe kabla ya miaka kumi na tano, lakini sidhani kwamba atamkatalia baba yake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/53-54)
- Imechapishwa: 08/05/2026
Swali 44: Kuhusu mtoto aliyebaleghe tangu miaka saba iliyopita na hakuswali hata swalah moja mpaka sasa na anataka kuhiji. Je, ni juu ya watu kumzuia kuhiji kwa kuwa ni kafiri au hazuiwi?
Jibu: Ni wajibu juu ya huyu ambaye amebaleghe tangu miaka saba iliyopita aswali. Ni wajibu juu ya mlezi wake amuamrishe swalah. Sidhani kwamba mtoto wa umri huu anakataa swalah. Anayekhofiwa kukataa swalah ni mtu mkubwa. Ama huyu, mara tu baba yake anapomwamrisha na kumlazimisha kuswali basi ataswali. Kwa msingi huu tutamlazimisha aswali. Sidhani kwamba mwenye miaka saba ni baleghe. Huenda akawa amebaleghe kabla ya miaka kumi na tano, lakini sidhani kwamba atamkatalia baba yake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/53-54)
Imechapishwa: 08/05/2026
https://firqatunnajia.com/mtoto-asiyeswali-anataka-kuhiji/