Swali: Ni ipi hukumu ya kutekeleza baadhi ya adhabu za Allaah katika ardhi Yake na kuacha zingine na kuzitekeleza kwa baadhi ya watu na kuwaacha wengine hali ya kuwa mambo ya Allaah yanakiukwa na kuruhusiwa kama muziki, ngoma na picha n.k.?
Jibu: Ni wajibu kuhukumu kwa Shari´ah yote. Ikiwa atatekeleza baadhi na kuacha baadhi, basi atakuwa amemuasi Allaah katika yale aliyoyaacha na atakuwa amefanya mema katika yale aliyoyatekeleza. Ni wajibu juu ya mtawala kuhukumu kwa Shari´ah ya Allaah katika kila jambo na kulishughulikia katika kila upande. Hivyo yeyote anayetekeleza baadhi na kuacha baadhi, basi amekosea katika yale aliyoyaacha na amefanya vizuri katika yale aliyoyatekeleza. Na ni juu yake kutubu kwa Allaah. Na pia ni juu ya wale walio chini yake na wale wanaoweza kumnasihi wamnasihi mpaka mambo yanyooke sawa.

https://firqatunnajia.com/mtawala-anayetekeleza-adhabu-za-kidini-kwa-upendeleo/