Ibn Baaz kuhusu pete ya uchumba au ya ndoa

Swali: Vipi kuhusu pete ya ndoa?

Jibu: Hii pete haina msingi, ni makosa. Haina msingi wowote. Hili mmechukua kwa kuiga maadui wa Allaah. Wanaiita “Shabkah”, lakini hili halina asili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3330/حكم-دبلة-الخطوبة
  • Imechapishwa: 14/08/2026