Mtaliki asikuzalie watoto wa nje ya ndoa

708 Nilimuuliza Shaykh kuhusu mwanamke anayejishaua kuonyesha mapambo na anaenda sokoni akiwa ametia manukato – mumewe anashauriwa kumtaliki?

Jibu: Naam; ili asimzalie watoto wa uzinzi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 249
  • Imechapishwa: 04/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´