Swali 707: Vipi kuhusu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumuita ´Abdullaah bin Ubayy (kiongozi wa wanafiki) kwa kun-ya Abul-Habbaab?

Jibu: Huenda alikuwa anamvutia kwenye Uislamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 249
  • Imechapishwa: 04/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´