Swali: Je, inafaa kwa muislamu asiyekuwa mwarabu, ambaye anataka kumuomba Mola wake katika swalah ya faradhi, kuomba kwa lugha yake?
Jibu: Ndio, aombe kwa lugha yake. Haimtatizi Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 02/06/2023