Swali: Kuna msikiti uko pambizoni na shule. Je, wakati kunapokimiwa swalah kwenye msikiti huu inawalazimu kuhudhuria wale waalimu waliomaliza kazi endapo hakuna tatizo lolote juu ya kutoka kwao nje?

Jibu: Ikiwa msikiti uko karibu na hakuna tatizo lolote basi wanapasa kuswali msikitini.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 25/09/2021