Swali: Je, anapata dhambi pia anayesikiliza umbea pasi na kukataza?

Jibu: Ndio. Anayesikiliza umbea na asikataze anashiriki katika madhambi. Hii ni dhambi. Kwa hiyo ni lazima kwake kukataza maovu.

  • Mhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18331
  • Imechapishwa: 17/10/2021