Swali: Mwenye kutaka kusafiri kisha asiweze kufanya hivyo, je itakuwa imekatika nia ya swawm?
Jibu: Si kila mwenye kutaka safari hukatika nia. Baadhi ya wanawake husafiri nao wamefunga, huyu haikukatika. Imekatika yule ambaye alikusudia kula kisha asiweze kusafiri. Atalipa siku nyingine.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Mwenye kutaka kusafiri kisha asiweze kufanya hivyo, je itakuwa imekatika nia ya swawm?
Jibu: Si kila mwenye kutaka safari hukatika nia. Baadhi ya wanawake husafiri nao wamefunga, huyu haikukatika. Imekatika yule ambaye alikusudia kula kisha asiweze kusafiri. Atalipa siku nyingine.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/msafiri-anayekusudia-kula-safarini-kisha-asisafiri/