Swali: Kama nitajua kuwa sitafika nchini mwangu hadi baada ya swalah ya ´Aswr au ´Ishaa, je, nifupishe swalah zangu?
Jibu: Unayo khiyari; ukiswali njiani basi utafupisha swalah, na ukiziahirisha hadi ufike nchini mwako, basi utaswali pamoja na wengine Rak´ah nne.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/212)
- Imechapishwa: 15/03/2026
Swali: Kama nitajua kuwa sitafika nchini mwangu hadi baada ya swalah ya ´Aswr au ´Ishaa, je, nifupishe swalah zangu?
Jibu: Unayo khiyari; ukiswali njiani basi utafupisha swalah, na ukiziahirisha hadi ufike nchini mwako, basi utaswali pamoja na wengine Rak´ah nne.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/212)
Imechapishwa: 15/03/2026
https://firqatunnajia.com/msafiri-anayejua-kuwa-atafika-nchini-mwake-baada-ya-muda-wa-swalah/