Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusujudu mbele ya sanamu lakini nia yake ni kusujudu kwa ajili ya Allaah (Subhaanah) ili aweze kufikia jambo la kidunia?
Jibu: Namwomba Allaah kinga kuwa miongoni mwa wajinga. Anasujudia sanamu kwa nia ya kumsujudia Allaah? Hakuna mwenye kusema hivi isipokuwa mtu mpumbavu au mtu mwenye ´Aqiydah mbovu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusujudu mbele ya sanamu lakini nia yake ni kusujudu kwa ajili ya Allaah (Subhaanah) ili aweze kufikia jambo la kidunia?
Jibu: Namwomba Allaah kinga kuwa miongoni mwa wajinga. Anasujudia sanamu kwa nia ya kumsujudia Allaah? Hakuna mwenye kusema hivi isipokuwa mtu mpumbavu au mtu mwenye ´Aqiydah mbovu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (08) http://alfawzan.af.org.sa/node/2123
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/mpumbavu-au-aliye-na-aqydah-mbovu-ndiye-asema-hivi-%e2%80%82%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket