Swali: Je, inafaa kwa mke kutoka nyumbani kwake pasi na idhini ya mume wake ili aweze kuleta mahitaji ya nyumbani ambayo mume amechelewa kuyaleta?

Jibu: Hiajuzu kwake mpaka amuombe idhini mume wake. Haifai kwa mwanamke kutoka nyumbani mpaka mume wake ampe idhini.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 22/06/2023