Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi ya ulinzi katika benki za ribaa?
Jibu: Ikiwa serikali ndio imekuweka hapo, hapana neno. Kwa sababu maaskari hulinda maeneo mbalimbali. Hili ni kwa njia ya amani. Lakini ikiwa benki ndio imekuajiri kama mlinzi haijuzu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 25/07/2024
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kazi ya ulinzi katika benki za ribaa?
Jibu: Ikiwa serikali ndio imekuweka hapo, hapana neno. Kwa sababu maaskari hulinda maeneo mbalimbali. Hili ni kwa njia ya amani. Lakini ikiwa benki ndio imekuajiri kama mlinzi haijuzu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 25/07/2024
https://firqatunnajia.com/mlinzi-benki/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)