Swali: Natumiwa dawa ambayo hulegeza mwili wangu na kupata usingizi mzito kabisa. Licha ya kuweka alamu ya kuniamsha karibu na kichwa changu lakini mara nyingi hupitwa na swalah. Je, napata dhambi kwa jambo hilo pamoja na kujua kwamba ni kazima niendelee kutumia dawa hiyo?
Jibu: Hapana, hupati dhambi. Ni mwenye kupewa udhuru kwa jambo hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 25/07/2024
Swali: Natumiwa dawa ambayo hulegeza mwili wangu na kupata usingizi mzito kabisa. Licha ya kuweka alamu ya kuniamsha karibu na kichwa changu lakini mara nyingi hupitwa na swalah. Je, napata dhambi kwa jambo hilo pamoja na kujua kwamba ni kazima niendelee kutumia dawa hiyo?
Jibu: Hapana, hupati dhambi. Ni mwenye kupewa udhuru kwa jambo hilo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 25/07/2024
https://firqatunnajia.com/anapitwa-na-swalah-kwa-sababu-ya-dawa-anayotumia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)