Swali: Je, ni lazima kwa mlinganizi kwenda sehemu ambazo zina fitina, wanawake kuonyesha mapambo na mchanganyiko wa wanaume na wanawake kama mfano wa hospitali kwa ajili ya kuwalingania wasiokuwa waislamu katika Uislamu na kitendo chake hichi anafanya kila siku?
Jibu: Hili ni jambo zuri. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anaenda katika mikusanyiko ya washirikina na anawasikilizisha Qur-aan na kuwalingania. Ikiwa makusudio yake ni ulinganizi aende sehemu hizi pamoja na kuinamisha macho na kujiepusha na michanganyiko.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (77) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-19.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)