Mke mjeuri haki yake inaanguka


Swali: Nina mke wa pili ambaye tabia yake ni mkaidi na si mtiifu. Je, haya yananijuzishia mimi kumtomfanyia uadilifu na nikalala kwa yule mwingine siku zaidi kuliko kwa huyu?

Jibu: Akiwa ni mwasi haki yake inaanguka. Akiwa ni mwasi na wala hakutii basi haki yake inadondoka mpaka ajirudi na kutubu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2021