Mke anataka kurudisha siku yake aliyompa mke mwenza

549 – Nilimuuliza Shaykh wetu kama inafaa kwa mwanamke aliyempa mke mwenza siku yake kuirudisha?

Jibu: Ndiyo, ana haki hiyo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 188
  • Imechapishwa: 06/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´