Swali 247: Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
“Watatu aina tatu wanastahiki usaidizi wa Allaah (´Azza wa Jall)… ”
ambapo mmoja wao akamtaja:
”… na mwanamume anayeoa ili kuhifadhi tupu yake…”
Je, hii linahusu kuoa mke wa pili?
Jibu: Hii ni yenye kuenea, mke wa pili, wa tatu na wa nne.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 188
- Imechapishwa: 06/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 247: Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
“Watatu aina tatu wanastahiki usaidizi wa Allaah (´Azza wa Jall)… ”
ambapo mmoja wao akamtaja:
”… na mwanamume anayeoa ili kuhifadhi tupu yake…”
Je, hii linahusu kuoa mke wa pili?
Jibu: Hii ni yenye kuenea, mke wa pili, wa tatu na wa nne.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 188
Imechapishwa: 06/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/inahusu-anayetaka-kuoa-mke-wa-pili-wa-tatu-na-wa-nne/