Swali: Mke anashtaki juu ya mume wake kwa kuwa anakoroma usingizini na yeye hawezi kulala naye kwenye chumba kimoja kutokana na sababu hiyo. Je, inajuzu kwake kumuacha mume wake kwenye chumba chake kisha akasimama na kwenda kulala kwenye chumba kingine?

Jibu: Ndio, haya ni madhara. Bila ya shaka haya ni madhara. Anapata kwenda kwenye chumba kingine ili aweze kupumzika huko.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020