Swali: Mke anachukua pesa kutoka kwa mume wake na anasema kuwa ni kwa ajili ya kununua nguo za watoto. Lakini badala ya kununua nguo za watoto anaziweka kwa ajili ya haja zengine za huko mbeleni. Je, inafaa kwake kufanya hivo?
Jibu: Hapana, haifai kwake kufanya hivo. Unatakiwa kununua nguo ambazo amechukua pesa kwa ajili yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
- Imechapishwa: 30/09/2020
Swali: Mke anachukua pesa kutoka kwa mume wake na anasema kuwa ni kwa ajili ya kununua nguo za watoto. Lakini badala ya kununua nguo za watoto anaziweka kwa ajili ya haja zengine za huko mbeleni. Je, inafaa kwake kufanya hivo?
Jibu: Hapana, haifai kwake kufanya hivo. Unatakiwa kununua nguo ambazo amechukua pesa kwa ajili yake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
Imechapishwa: 30/09/2020
https://firqatunnajia.com/mke-anachukua-pesa-kutoka-kwa-mume-kwa-ajili-ya-haja-za-mustakabali/