Swali: Kufanya biashara ni kitu kisichofaa misikitini, lakini inafaa kuandika mkataba wa nyumba ndani ya msikiti?

Jibu: Kukodisha ni biashara ya manufaa na hivyo haijuzu kuandikiana msikitini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 29/09/2020