Swali: Leo kuna watu wanaowatuhumu wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah, kama Imaam an-Nawawiy na Imaam Ibn Hajar, kwa ujinga, Bid´ah na mengineyo. Unasemaje juu ya hilo na wanaingia katika wale ambao mwandishi ametaja?
Jibu: Ndio, bila ya shaka yoyote wanaingia katika wale ambao mwandishi ametaja. Imaam Ibn Hajar na Imaam Ibn Hajar ni maimamu na wamoja miongoni mwa nguzo za Uislamu na elimu ya Hadiyth na ni viigizo. Allaah Awarahamu. Hakuna mwingine zaidi ya mjinga ndio anawasema kwa ubaya. Haijuzu kuwasema kwa ubaya. Kuna ambao wameunguza “Fath-ul-Baariy” kwa sababu ndani yake Sifa za Allaah zimewekewa taawili. Ni upetukaji mipaka
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)