Swali: Ni kipi kinachotanguliwa kwa mwanafunzi; masomo au kuoa? Ikiwa ataoa basi atasitisha kusoma kwa sababu hawezi kuihudumia familia yake katika hali ya uoaji.

Jibu: Ikiwa anakhofia kutumbukia katika madhambi aoe. Atangulize kuoa ili kuihifadhi nafsi yake. Hili litamsahilishia masomo yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015