Swali: Katika baadhi ya miji kuna desturi mwanamke aliye katika aeda anapokufa mume wake basi anavaa mavazi meusi kwa muda wa mwaka mzima. Asipofanya hivo, basi atatuhumiwa maneno yasiyokuwa ya sawa kwamba amefurahikia kufariki kwa mume wake…
Jibu: Haya ni katika matendo ya kipindi kabla ya kuja Uislamu. Haijuzu. Atavaa yale mavazi ambayo kidesturi wanayavaa. Hana vazi maalum alilowekewa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 06/05/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)