Misikiti tu ndio inatakiwa kujengwa

Swali: Inajuzu kusimamia au kujenga makanisa au kuwauzia chakula watawa?

Jibu: Haijuzu kuwahudumia, kufanya kazi wala kusaidia majengo ya shirki na majengo ya kuabudiwa asiyekuwa Allaah. Mambo kama hayo yanatakiwa kufanywa misikitini. Allaah ameamrisha ijengwe misikiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/12/2020