Swali: Baadhi ya makampuni ya hisa ambapo serikali inachukua asilimia 15 ya faida. Je, faida anayopata mwenye hisa katika kampuni hizi ni halali au ina ribaa?
Jibu: Hakuna tatizo. Kile ambacho serikali inawapa watu kama msaada ili kuwahamasisha kuendelea na miradi, kuwakinga wasipate hasara na kuwasaidia waendelee kufanya mambo yenye manufaa kwa jamii, huo ni msaada kutoka hazina ya serikali na ni sehemu ya miamala halali. Msaada huu unaotolewa kwa kampuni ili iwe imara, iendelee na kufanya kazi vizuri, kama vile msaada unaotolewa kwa wakulima, wafanyabiashara na wengine ili waweze kuleta bidhaa zenye manufaa na kuepusha faida kushuka sana, yote haya ni kwa manufaa ya waislamu na hayana ribaa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1048/حكم-ارباح-الشركات-التي-تضمن-فيها-الحكومة-نسبة-من-الربح
- Imechapishwa: 13/01/2026
Swali: Baadhi ya makampuni ya hisa ambapo serikali inachukua asilimia 15 ya faida. Je, faida anayopata mwenye hisa katika kampuni hizi ni halali au ina ribaa?
Jibu: Hakuna tatizo. Kile ambacho serikali inawapa watu kama msaada ili kuwahamasisha kuendelea na miradi, kuwakinga wasipate hasara na kuwasaidia waendelee kufanya mambo yenye manufaa kwa jamii, huo ni msaada kutoka hazina ya serikali na ni sehemu ya miamala halali. Msaada huu unaotolewa kwa kampuni ili iwe imara, iendelee na kufanya kazi vizuri, kama vile msaada unaotolewa kwa wakulima, wafanyabiashara na wengine ili waweze kuleta bidhaa zenye manufaa na kuepusha faida kushuka sana, yote haya ni kwa manufaa ya waislamu na hayana ribaa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1048/حكم-ارباح-الشركات-التي-تضمن-فيها-الحكومة-نسبة-من-الربح
Imechapishwa: 13/01/2026
https://firqatunnajia.com/misaada-kutoka-serikalini-kwa-mashirika-ya-hisa-ni-ribaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket