Swali: Unatushauri kujenga misikiti nje ya nchi hii mahali ambapo kunatambulika kwa Taswawwuf na kuyajengea makaburi? Wazazi wangu ndio wanataka hivo.

Jibu: Hapana. Hatuwasaidii yale waliyomo katika Bid´ah na maovu. Hatuwasaidii. Tunajenga misikiti kwa ajili ya Ahl-us-Sunnah na watu walio na ´Aqiydah sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (50) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20M%20-%2019%20-%207%20-%201437_01-.mp3
  • Imechapishwa: 05/07/2020