Swali: Unasemaje kuhusu anayesema kwamba sasa tuko katika hatua ya mipango na kwamba makadirio yametangulia kutoka kwa Allaah (´Azza wa Jall)?
Jibu: Mipango inapotajwa peke yake, makusudio yake ni makadirio. Makadirio yanapotajwa peke yake, makusudio yake ni mipango. Lakini yanapotajwa pamoja, basi makadirio makusudio yake ni ujuzi wa Allaah wa milele. Mipango ni yale ambayo Allaah Ameyapitisha na Ameyahukumu kwa waja Wake. Kwa hiyo hakuna mgongano kati ya istilahi hizi mbili.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 16/09/2026
Swali: Unasemaje kuhusu anayesema kwamba sasa tuko katika hatua ya mipango na kwamba makadirio yametangulia kutoka kwa Allaah (´Azza wa Jall)?
Jibu: Mipango inapotajwa peke yake, makusudio yake ni makadirio. Makadirio yanapotajwa peke yake, makusudio yake ni mipango. Lakini yanapotajwa pamoja, basi makadirio makusudio yake ni ujuzi wa Allaah wa milele. Mipango ni yale ambayo Allaah Ameyapitisha na Ameyahukumu kwa waja Wake. Kwa hiyo hakuna mgongano kati ya istilahi hizi mbili.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 16/09/2026
https://firqatunnajia.com/mipango-na-makadirio-ya-allaah/