Swali: Mtu ambaye ana deni la swawm ya Ramadhaan – je, inajuzu kwake kufunga swawm za kujitolea na khaswa ikiwa ni katika siku ambazo fadhilah zake hupitwa, kama siku ya ´Aashuuraa´ au siku ya ´Arafah?
Jibu: Hapana. Bali alipe kwanza swawm ya faradhi, kwa sababu faradhi inatangulizwa. Ikiwa anataka kufunga siku ya ´Arafah au ´Aashuuraa´, basi afunge swawm ya faradhi kabla yake. Ikiwa atafunga siku ya ´Aashuuraa´ kwa nia ya kulipa swawm ya faradhi, basi inamtosheleza kuwa ni malipo ya faradhi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 16/09/2026
Swali: Mtu ambaye ana deni la swawm ya Ramadhaan – je, inajuzu kwake kufunga swawm za kujitolea na khaswa ikiwa ni katika siku ambazo fadhilah zake hupitwa, kama siku ya ´Aashuuraa´ au siku ya ´Arafah?
Jibu: Hapana. Bali alipe kwanza swawm ya faradhi, kwa sababu faradhi inatangulizwa. Ikiwa anataka kufunga siku ya ´Arafah au ´Aashuuraa´, basi afunge swawm ya faradhi kabla yake. Ikiwa atafunga siku ya ´Aashuuraa´ kwa nia ya kulipa swawm ya faradhi, basi inamtosheleza kuwa ni malipo ya faradhi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 16/09/2026
https://firqatunnajia.com/anataka-kufunga-swawm-ya-kujitolea-kabla-ya-deni-la-ramadhaan/