Swali: Je, inajuzu kutumia majini?
Jibu: Hili halifai. Kwa sababu majini hatuwaoni wala hatuzijui hali zao. Huenda wakamvuta mtu katika mambo ambayo mwisho wake si mzuri. Huenda mtu akadhani kwamba wao ni waumini ilihali ni wanafiki. Kisha baada ya hapo wakamlazimisha na wakamfanya aangukie katika ukafiri na shirki.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 16/09/2026
Swali: Je, inajuzu kutumia majini?
Jibu: Hili halifai. Kwa sababu majini hatuwaoni wala hatuzijui hali zao. Huenda wakamvuta mtu katika mambo ambayo mwisho wake si mzuri. Huenda mtu akadhani kwamba wao ni waumini ilihali ni wanafiki. Kisha baada ya hapo wakamlazimisha na wakamfanya aangukie katika ukafiri na shirki.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 16/09/2026
https://firqatunnajia.com/majini-hawatumiwi-na-binadamu/