Mikutano ya kawaida msikitini

Swali: Inafaa kufanya mikutano msikitini?

Jibu: Ni sawa haja ikipelekea kufanya hivo. Ni katika manufaa. Mikutano ambayo ina manufaa kwa waislamu haina neno.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22049/هل-يجوز-عقد-الموتمرات-في-المساجد
  • Imechapishwa: 21/10/2022