Miili ya watu watapofufuliwa

Swali: Miili na viwiliwili ambavyo Allaah atavifufua siku ya Qiyaamah ndio vilevile walivyokuwa navyo watu duniani?

Jibu: Ndio, ndivyo. Lakini vitabadilishwa na vitakuwa kama umbile la Aadam dhiraa sitini kwenda juu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-is-Shubuhaat, uk. 121
  • Imechapishwa: 23/08/2019