Swali: Karibu nitarudi katika nchi yangu. Nitahitajia kazi lakini sehemu za kazi zote kuna mchanganyiko wa wanaume na wanawake. Unaninasihi nini?
Jibu: Fanya kazi katika nchi isiyokuwa na mchanganyiko. Safiri na ufanye kazi mahala pa kazi ambapo hakuna mchanganyiko.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 08/07/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket