Swali: Niliswali swalah nyingi ambazo sijui idadi yake bila ya kuwa na twahara na nilifanya hivo kwa kukusudia na kwenye miaka mbali mbali na leo nimetubu. Kipi kinachonilazimu kwa hali yangu kama hii?
Jibu: Ikiwa ulikusudia kuswali bila ya kuwa na wudhuu´, wewe ni kama aliyeacha swalah kwa kukusudia. Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia ni kafiri. Maadamu umetubu kwa Allaah na umeingia katika Uislamu upya, ni juu yako kuhifadhi swalah. Tawbah inafuta yaliyo kabla yake. Tawbah sahihi inafuta yaliyo kabla yake. Hifadhi swalah baada ya kutubu na Allaah Anasamehe yaliyopita.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
- Imechapishwa: 01/06/2015
Swali: Niliswali swalah nyingi ambazo sijui idadi yake bila ya kuwa na twahara na nilifanya hivo kwa kukusudia na kwenye miaka mbali mbali na leo nimetubu. Kipi kinachonilazimu kwa hali yangu kama hii?
Jibu: Ikiwa ulikusudia kuswali bila ya kuwa na wudhuu´, wewe ni kama aliyeacha swalah kwa kukusudia. Mwenye kuacha swalah kwa kukusudia ni kafiri. Maadamu umetubu kwa Allaah na umeingia katika Uislamu upya, ni juu yako kuhifadhi swalah. Tawbah inafuta yaliyo kabla yake. Tawbah sahihi inafuta yaliyo kabla yake. Hifadhi swalah baada ya kutubu na Allaah Anasamehe yaliyopita.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
Imechapishwa: 01/06/2015
https://firqatunnajia.com/miaka-yote-ameswali-bila-ya-wudhuu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)