Kudhihirisha maasi hadharani ni dhambi kubwa

Swali: Sigara, kujitoa manii na kunyoa ndevu ni katika madhambi makubwa?

Jibu: Kufanya mambo wazi wazi [pasi na kujificha] na kudumu nayo, kunafanya yanakuwa madhambi makubwa. Ama ikiwa mtu alifanya mara moja na akatubu na baadae akaacha, anasamehewa na inakuwa ni dhambi ndogo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
  • Imechapishwa: 01/06/2015