Swali: Je, inajuzu kumlaani mtengeneza picha na mwimbaji?
Jibu: Ndio, kwa jumla. Lakini usisemi “Allaah mlaani fulani”. Kinyume chake sema “Allaah awalaani watengeneza picha”, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
لَّعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الظَّالِمِينَ
“Laana ya Allaah iwe juu ya madhalimu.” (07:44)
فَلَعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الْكَافِرِينَ
“Basi laana ya Allaah iwe juu ya makafiri.” (02:89)
Sema kwa juma. Kuhusu kumlaani mtu kwa dhati yake, hili lina tofauti [kwa wanachuoni].
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
- Imechapishwa: 01/06/2015
Swali: Je, inajuzu kumlaani mtengeneza picha na mwimbaji?
Jibu: Ndio, kwa jumla. Lakini usisemi “Allaah mlaani fulani”. Kinyume chake sema “Allaah awalaani watengeneza picha”, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
لَّعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الظَّالِمِينَ
“Laana ya Allaah iwe juu ya madhalimu.” (07:44)
فَلَعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الْكَافِرِينَ
“Basi laana ya Allaah iwe juu ya makafiri.” (02:89)
Sema kwa juma. Kuhusu kumlaani mtu kwa dhati yake, hili lina tofauti [kwa wanachuoni].
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
Imechapishwa: 01/06/2015
https://firqatunnajia.com/allaah-awalaani-watengeneza-picha-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)