Swali: Je, inafaa kwa mgonjwa kukusanya swalah ikiwa ni vigumu kwake kuswali kila swalah ndani ya wakati wake?
Jibu: Halina shaka. Inafaa kwa mgonjwa kukusanya swalah pale anapohitajia hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 20/07/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)