Mfano wa watu ambao inafaa kuwasengenya

Swali: Je, inafaa kumsengenya yule anayefanya maasi waziwazi mbele ya watu?

Jibu: Anayejionyesha kwa maasi hana makatazo ya kusengenya:

”Ummah wangu wote ni wenye kusamehewa isipokuwa wale kujidhihirisha kwa maasi.”

Kwa hivyo yule anayekunywa pombe hadharani hana makatazo usengenyi, anayenyowa ndevu hadharani hana makatazo usengenyi katika jambo hilo na mfano wa hayo. Tunamuomba Allaah atuepushe na hayo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31156/هل-تجوز-غيبة-المجاهر-بالمعاصي
  • Imechapishwa: 09/10/2025