Swali: Tunataka ubainifu wa hukumu kwa wale wenye kuwapiga watu picha na simu kwenye Msikiti wa Makkah?
Jibu: Hili tumeshalizungumzia mara nyingi. Enyi watu! Mcheni na mwogopeni Allaah. Picha ni haramu mahala kokote. Ikiwa ni kwenye Msikiti wa Makkah ni dhambi kubwa zaidi. Mtatenzwa nguvu siku ya Qiyaamah kuleta picha mlizotengeneza na mtaadhibiwa kwazo ndani ya Moto wa Jahannam. Ni juu yenu kumcha Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Tunataka ubainifu wa hukumu kwa wale wenye kuwapiga watu picha na simu kwenye Msikiti wa Makkah?
Jibu: Hili tumeshalizungumzia mara nyingi. Enyi watu! Mcheni na mwogopeni Allaah. Picha ni haramu mahala kokote. Ikiwa ni kwenye Msikiti wa Makkah ni dhambi kubwa zaidi. Mtatenzwa nguvu siku ya Qiyaamah kuleta picha mlizotengeneza na mtaadhibiwa kwazo ndani ya Moto wa Jahannam. Ni juu yenu kumcha Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/mcheni-allaah-juu-ya-picha/