Mbwa ikiramba mwili au nguo za mtu

Swali: Mtu anajitwaharisha vipi mwili wake au nguo zake zikirambwa na mbwa?

Jibu: Aoshe kile kilichorambwa mara saba.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020