Swali: Inafaa kwa mtu badala ya kumtoa zakaah mbuzi na kondoo akalipa thamani yake?

Jibu: Hakuna neno. Inafaa kwake akamtoa zakaah kondoo na mbuzi au akatoa zakaah ya thamani yake. Wanaoamua jambo hilo ni wale wakusanyaji wa zakaah. Wana haki ya kuchukua mifugo au kima chake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (16)
  • Imechapishwa: 26/04/2021