Swali: Ikiwa majini yanafungwa Ramadhaan, kwanini tunaona maasi katika mwezi wa Ramadhaan, au majini hufungwa mpaka anapofuturu aliefunga kisha yanafunguliwa? Mtume (swalla Allaahu ´alyhi wa sallam) anasema kama ilivyo katika Swahiyh:
“Inapoingia Ramadhaan, hufunguliwa milango ya Pepo na hufungwa milango ya Moto na Mashaytwaan hufungwa.”
Jibu: Imekuja katika swahiyh Ibn Khuzaymah kuwa ni yale Mashaytwaan wakuu ndio wanafungwa. Ama vile vidogo haviachi kuwasumbua watu na kuwafanyia uadui na maudhi. Kilichobaki pia ni nafsi yako. Baadhi ya nafsi huenda zikawa ngumu na inakuwa ndio sababu ya kutumbukia katika fitina na si shaytwaan, khaswakhaswa walao mirungi. Inapofika wakati wa ´Aswr ngumi na matusi ni wao, muhimu ni kujiepusha na walao mirungi baada ya ´aswr…
- Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://muqbil.net/fatwa.php?fatwa_id=1173
- Imechapishwa: 19/05/2020
Swali: Ikiwa majini yanafungwa Ramadhaan, kwanini tunaona maasi katika mwezi wa Ramadhaan, au majini hufungwa mpaka anapofuturu aliefunga kisha yanafunguliwa? Mtume (swalla Allaahu ´alyhi wa sallam) anasema kama ilivyo katika Swahiyh:
“Inapoingia Ramadhaan, hufunguliwa milango ya Pepo na hufungwa milango ya Moto na Mashaytwaan hufungwa.”
Jibu: Imekuja katika swahiyh Ibn Khuzaymah kuwa ni yale Mashaytwaan wakuu ndio wanafungwa. Ama vile vidogo haviachi kuwasumbua watu na kuwafanyia uadui na maudhi. Kilichobaki pia ni nafsi yako. Baadhi ya nafsi huenda zikawa ngumu na inakuwa ndio sababu ya kutumbukia katika fitina na si shaytwaan, khaswakhaswa walao mirungi. Inapofika wakati wa ´Aswr ngumi na matusi ni wao, muhimu ni kujiepusha na walao mirungi baada ya ´aswr…
Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://muqbil.net/fatwa.php?fatwa_id=1173
Imechapishwa: 19/05/2020
https://firqatunnajia.com/mbona-bado-twaona-maasi-yakifanywa-licha-kwamba-mashaytwaan-wamefungwa-minyororo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)