Mawasiliano na shangazi na ami

Swali: Nina shangazi na ami zangu ambao sina mawasiliano nao na wala siwatembelei. Mwenendo wangu huu unazingatiwa ni katika kukata udugu?

Jibu: Ndio. Ikiwa huna mawasiliano nao na wala huwatembelei ni katika kukata udugu. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ayatquran-26-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020