Swali: Nataka kumjengea msikiti baba yangu ambaye kishakufa. Bora zaidi ni kumjengea nje ya nchi ili kueneza Tawhiyd au ndani ya Saudi Arabia?

Jibu: Ikiwa inawezekana kujengea Saudi Arabia ni bora zaidi. Saudi Arabia utauona na utauchunga na utakuwa chini ya mamlaka ya waislamu. Ukijenga nje ya nchi hutokuwa na uangalizi juu yake. Ni jambo lisilokuwa na shaka kuwa kujenga msikiti Saudi Arabia ni bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ayatquran-26-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 20/06/2020