Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na mavazi yenye picha za wanyama au watu?
Jibu: Haijuzu. Picha haijuzu. Kuvaa mavazi yaliyo na picha haijuzu, ni mamoja katika swalah na nje ya swalah. Haijuzu kubeba picha za viumbe wenye roho. Mtu akiswali nayo ni kubaya zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (56) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-12-30.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na mavazi yenye picha za wanyama au watu?
Jibu: Haijuzu. Picha haijuzu. Kuvaa mavazi yaliyo na picha haijuzu, ni mamoja katika swalah na nje ya swalah. Haijuzu kubeba picha za viumbe wenye roho. Mtu akiswali nayo ni kubaya zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (56) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-12-30.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/mavazi-ya-picha-hayajuzu/