Swali: Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) isemayo:
”Allaah hatomtazama anayeburuza kikoi chake kwa kiburi.”
Jibu: Haya ni matishio yanayofidisha matahadharisho.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22350/معنى-الوعيد-في-من-جر-ازاره-بطرا
- Imechapishwa: 17/02/2023