Swali: Je, ni katika haki ya mke juu ya mume wake kusimamia matibabu yake kwa gharama zake?
Jibu: Ni katika kutendeana wema na kuisi vizuri. Hali haijafikia mpaka kuulizwe juu ya hilo? Amtendee wema. Kitendo hicho ni katika kumtendea wema.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 29/07/2023